Ujumbe mwingine alioandika Happiness Watimanywa, mwakilishi wa Tanzania kwenye Miss World 2014

Katika ujumbe huo ameonyesha kufurahi kuwa mwakilishi wa Tanzania katika Mashindano hayo makubwa ya Dunia na pia amewashukuru Watanzania kwa kumpigia kura na kumpa support kubwa.
Happiness kaandika ujumbe huu kwenye ukurasa wake wa Facebook; “It has been a pleasure being here in #London representing #Tanzania for this year’s#MissWorld‘s #MW2014 pageant. Thank you #Tanzania for supporting me. Please keep voting for Tanzania. #Oxforddebate #charitygala #topmodel #MissWorld2014 #MW2014#lessonlearnt #wellappreciated — in London, United Kingdom.“
No comments:
Post a Comment