SUPERSTAR WA BONGO MOVIE AFUMANIWA NA MKE WA MTU NA HIKI NDICHO ALICHOFANYIWA
Wakati wengine wakisheherekea sikukuu ya Christmass duniani kote ikiwa ni kumbukumbu kwa wakristo wote kuzaliwa kwa Mwokozi wao "YESU" Wengine siku hiyo wanaifanya kuwa siku ya starehe na kufanya mambo kinyume na maana ya siku yenyewe. Msanii wa filamu za bongo maarufu kwa jina la Pancho Mwamba, anadaiwa kufanyiwa mbaya baada ya fumanizi siku ya Xmass. Msanii huyo inasemekana amefumaniwa na mke ambaye si wake siku ya Christmass maeneo ya Kinondoni jijini hapa
Patcho Mwamba Lukusa ni muimbaji, Mtunzi, Composer, Music
Arranger, Mchezaji, Mchekeshaji na ni muigizaji wa
cinema. Patcho
amejitokeza kucheza vizuri katika tasmia nzima ya
kundi la FM Academia wana Ngwasuma ameweza kujizolea sifa kem kem toka kwa mashabiki wa Dollywoodsinema huku ajijizolea umaarufu kama mwanamuziki huyu toka
No comments:
Post a Comment