BILIONEA NIGERIA AMZAWADIA TAYO $ 350,000 BAADA YA KUKOSA ZA BIG BROTHER HOTSHOTS
Tayo.
INADAIWA kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano la Big
Brother Hotshots, Tayo kuzikosa $ 300,000 za shindano hilo ambazo
zilichukuliwa na mshiriki kutoka Tanzania Idris Sultan, mfanyabiashara
bilionea na Nigeria ameamua kumzawadia Tayo $ 350,000 zaidi ya shilingi
milioni 600.
Bilionea Ayiri Emami.Bilionea huyo aitwaye Ayiri Emami ameamua kuongeza dola 50,000 juu zaidi ya ile ambayo ilitolewa na Biggie ambayo ni $300,000 kutokana na kuwa shabiki mkubwa wa Tayo.
No comments:
Post a Comment