Meli ya MV Jitihada mkombozi wa Wafanyabiashara Zenj.
Meli ya MV Jitihada ikitoa huduma za
kusafirisha mizigo ya wafanyabiashara kati ya Unguja, Pemba na
Dar-es-Salaam, ikiwa katika bandari ya Unguja ikitokea Dar.
Meli hiyo imekuwa mkombozi kwa wafanyabiashara wa visiwa hivi kwa huduma yake bora na nafuu.
Meli hii imefanyiwa ukarabati mkubwa na
cherezo ya Shirika la Bandari Zanzibar kilioko katika maeneo ya Malindi
Funguni mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment