HII NDIO KAULI NZITO YA ZITTO KABWE BAADA YA UCHAGUZI JANA
zitto kabwe
Kauli ya zitto kabwe kupitia ukurasa wake wa facebook
Matokeo
ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika leo tarehe 14 Disemba,
2014 yanaashiria jambo moja kubwa; Watanzania wapo tayari kwa mabadiliko
ya kisiasa. Nawapongeza Watanzania wote waliojitokeza kuchagua Viongozi
wao leo. Nawapongeza zaidi wote waliochagua wagombea kutoka vyama vya
upinzani
No comments:
Post a Comment