Lile wimbi la watu kutumia majina ya mastaa kwenye
mitandao ya kijamii likiwa bado linaendelea kwa kasi. Bongo movies
imekutana huyu anejiita SHILOLE CLASIC.
Akijifanya kuwa yeye ni Shilole, ambae mwigizaji na mwanamziki
maarufu hapa Bongo. Hebu tusaidiane kusoma hii NGELI alioitoa hapa.
No comments:
Post a Comment