Monday, December 15, 2014



Hukumu imetolewa!Je unamkumbuka yule mfanyakazi wa ndani nchini Uganda aliyemtesa mtoto? sasa atahukumiwa kifungo cha miaka minne. ...

Katika hali ya kawaida watu wengi huambiwa kuwa Chocolate si kitu kizuri na kuna sababu nyingi za kukufanya uamini kuwa chocolate si nzuri . ...

Hivi umeshawahi kukutana na watu wanashindana kufanya kitu fulani cha kawaida tu, kama kula ama kunywa… ama chochote kile, halafu mwisho wa mabishano hayo wanawekeana hata hela ili atayayemshinda mwenzake anachukua kiasi chote cha pesa ambacho kimewekwa. ...

1. MPIGIE SIMU HATA MARA 1 KWA SIKU KUMJULIA HALI. UKIBANWA SANA, JARIBU KUMTUMIA HATA UJUMBE MFUPI KUONYESHA UNAMJALI. ...

Watafiti wamegundua kwamba wanaume ambao hawafanyi shughuli za kuwalinda wapenzi wao, huzalisha mbegu zenye ubora zaidi. ...

Mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwasifu wanawake kwamba ni watu wapole lakini ukweli haupo hivyo. ...

Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda... ...

Ugonjwa mwingine wa ajabu umeibuka Uganda, ambapo umewakumba watoto na wengine wakiripotiwa kufariki kutokana na ugonjwa huo. ...

Kama simu yako ya mkononi haikatiki kiganjani mwako muda wowote, inaweza ikawa inaharibu uhusiano wako na umpendaye. Wanasaikolojia wamesema kuwa watu wengi kwa sasa wanalazimika kushindana na smartphone za wapenzi wao kupata attention.  ...

Tamasha Kubwa na Maarufu la Nyama Choma Hapa Dar es Salaam Limepigwa Marufuku na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) Kufanyika katika Viwanja vya Chuo hicho Baada ya Tamasha ...

Ajali popote, huyu jamaa amepata ajali kazini tena huenda katika mazingira ambayo hakuwahi kutarajia. ...

HAKUNA neno jingine la kutumia zaidi ya kusema; KWELI MUNGU MKUBWA! Ni miezi mitano sasa imekatika tangu kusambaa kwa picha mitandaoni zilizomwonesha mwanaume mmoja akiwa ameshindiliwa sululu kichwani huku kisa kikiwa hakijulikani. ...

Wakazi wa jiji la Dar es salaam wapo katika hatari ya kupatwa na magonjwa makubwa kama saratani, utasa, kupoteza uwezo wa kuona,kuharibu ubongo,maini na figokutokana na matumizi ya mboga za majani zinazolimwa katika mabonde ya jiji hilo. Matumizi ya mboga hizo ni makubwa jijini humo,yakitokana na umuhimu wake...

Mapacha ambao wameungana huko Bengal Magharibi Ganga na Jamuna Mondal 45, wamesema hawajawahi kuwa na mpenzi katika maisha yao kwa sababu ya kukataliwa kutokana na mwonekano wao.

Mtaalamu mmoja wa wanyama pori nchini Marekani, Paul Roslie aliamua kufanya utafiti ndani ya tumbo la nyoka mkubwa aina ya Anaconda ili kuchunguza maumbile ya ndani ya Nyoka huyo. ...

Licha ya kukanusha awali, Urusi imesema inamiliki ndege ya mizigo iliyozuiwa katika uwanja wa ndege wa Kano kaskazini mwa Nigeria baada ya kugunduliwa imebeba silaha ambazo hazikuwa zimearifiwa. ...

Bila hata kwenda mbali angalia Hizi Statement kadhaa za Wanaume Wasiojiamini: ...

Tulisikia kwamba baada ya kufanyiwa upasuaji Marekani, Rais Kikwete alipewa masharti kadhaa na madaktari waliomfanyia upasuaji juu ya utaratibu wa kufanya katika kipindi cha miezi mitatu, ambapo moja ya masharti aliyopewa ni kutofanya kazi ngumu. ...

Tumesikia visa vingi ikiwemo vile vya kujiua ama kujidhuru kwa namna yoyote ambavyo vinasababishwa na mikasa ya mapenzi, kila kukicha tunasikia kisa ama visa vipya ambavyo watu wanajikuta wakijitenda kutokana na masuala ya mapenzi. ...

Rekodi mbalimbali zimekuwa zikivunjwa kila siku Duniani, siku chache zilizopita tuliisikia ile ya watu wawili waliovunja rekodi mbili kubwa ile ya mtu mfupi kuliko wote na mtu mrefu kuliko wote Duniani kukutana kwa mara ya kwanza. ...

No comments:

Post a Comment