Umesikia alichotaka kufanya mama huyu kwa mtoto wake baada ya kujifungua?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Li Zhenghua
24, amekutwa akifanya jaribio la kumla Mtoto wake aliyejifungua siku
chache zilizopita, baada ya kumkuta taya yake ikiwa imenasa kuzunguka
Mkono wa Mtoto wake.
Tukio hilo la ajabu lilitokea katika Hospitali iliyoko Shenzhen Kusini mwa jimbo la Guangdong, China ambapo mwanamke huyo alifikishwa kujifungua na baadaye wahudumu wa Hospitali kufanya jitihada za kutafuta ndugu zake.
Hata hivyo mwanamke huyo akiwa na siku
ya tatu Hospitalini hapo alikutwa na nesi akiwa katika jaribio la
kumng’ata mtoto ambapo madaktari walitumia nguvu na kufanikiwa kumuokoa
mtoto huyo ambaye tayari alikuwa na jeraha mkononi.
Hakika utapata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Facebook
No comments:
Post a Comment