TEAM WEMA Wapumua,Project Mpya Ya Wema
Siku za hivi karibuni baada ya mwigizaji Wema Sepetu alipoachana na mpenzi wake Diamond Platnum, na badaye Diamond kuamua kutoka na mwanamama Zari kutoka nchini Uganda, Mashabiki (TEAM) wa Diamond na wale wanaomponda Wema Sepetu wamekuwa kwakiasi kikubwa wakiwatupia maneno na vijembe wale mashabiki wa Wema (TEAM WEMA), kwa picha na maneno.kiasi ambacho TEAM WEMA kuonekana kama” LOSSERS”.
Lakini leo hii upepo umebadilika huko mitandaoni na TEAM WEMA wanaonekana kuwa na nguvu zaidi, baada ya mwigizaji Wema Sepetu kuachia baadhi ya picha akiwa nchini Ghana akifanya kazi na Van vicker ambae ni msanii mkubwa hapa Afrika.
Team Wema wamepongeza sana juhudi za mwigizaji huyo kutaka kuivusha tasnia ya filamu hapa nchini na kuipeleka kimataifa hivyo wanataka Le Projectii iemdelee
Bongomovies pia inampongeza na kunampa moyo katika juhudi zake hizi za kukuza tasnia yetu.Hiyo ni moja ya picha za project hiyo mpya
09.12.2014 - Tags:
No comments:
Post a Comment