Wakina dada jaman kuweni makini na huyu kaka anatumia jina AHMED MOHAMED MOHSEN facebook, namba yake 0717808986 kazi
yake kutapeli wadada kwenye mitandao na gia yake kapata ajal, wengine
anawatongoza alafu anakukopa anadai amepata ajali so kuweni makini
jaman..
mimi nilisikiaga habari zake sasa
naona leo kaamua aje kwangu KAINGIAJE CHAKA!!! mimi mwenyewe tapeli
lol!! alivyojua namjua akaniblock kabsa na fb kwenyewe ila jna la
tigopesa nimechek anaitwa HAJI REUBEN
No comments:
Post a Comment