Wednesday, December 24, 2014


PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa

PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa
PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa 1
PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa 2
PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa 3
PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa 4
PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa 5
PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa 6
PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa 7
Siku ya leo, mwigizaji  wa filamu, Wastara Juma alimfanyia sherehe mtoto wake wa kiume aitwae Faris ,ambae siku ya leo amefikisha umri wa miaka 10 yakuzaliwa.
Sherehe hiyo iliudhuriwa na baadhi ya waigizaji wakubwa kama, Bond Bin Sinnan amabe ni mtangazaji na muigizaji na Salma jabu “Nisha” na wengine wengi.
Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo. Tunamtakia maisha marefu kijana huyu na tungependa aje kuinga kwenye tasnia hii ya filamu.
Wastara anauliza: “Kafanana na nani huyu mtoto jamani?”

No comments:

Post a Comment