Baadhi ya
washiriki wa maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na Umoja wa wake wa
viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana
na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini
Dar es salaam, Desemba 12, 2014 wakijitambulisha baada ya onyesho
hilo. Chakula hicho kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya
maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani
Shinyanga.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment