Makamu wa Rais Dkt. Bilal Ahutubia katika Mkutano wa 20 Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi Duniani (COP 20) Jiji la Lima Peru.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza jambo na baadhi ya viongozi wenzake wakati walipohudhuria
katika Mkutano wa 20 wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi,
unaoendelea Jijini Lima nchini Peru, ambapo alizungumza kwa niaba ya
nchi za Afrika kuhusu utekelezaji wa maazimio mbalimbali ya mabadiliko
ya tabianchi. Pamoja na mambo mengine Dkt. Bilal alizungumzia namna nchi
za Afrik zilivyojizatiti katika maazimio mbalimbali yanayolenga
kunusuru majanga yatokanayo na Tabianchi
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia katika Mkutano wa 20 wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya
Tabianchi, unaoendelea Jijini Lima nchini Peru. Makamu wa Rais
alizungumza kwa niaba ya nchi za Afrika kuhusu utekelezaji wa maazimio
mbalimbali ya mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na mambo mengine Dkt.
Bilal alizungumzia namna nchi za Afrika zilivyojizatiti katika maazimio
mbalimbali yanayolenga kunusuru majanga yatokanayo na Tabianchi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mjumbe maalum wa Marekani katika masuala ya Mabadiliko
ya Tabianchi, Todd Stern, baada ya kuhudhuria katika Mkutano wa 20 wa
Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, unaoendelea Jijini Lima nchini
Peru, ambapo alizungumza kwa niaba ya nchi za Afrika kuhusu
utekelezaji wa maazimio mbalimbali ya mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na
mambo mengine Dkt. Bilal alizungumzia namna nchi za Afrika
zilivyojizatiti katika
maazimio mbalimbali yanayolenga kunusuru majanga yatokanayo na Tabianchi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipiga picha ya kumbukumbu na Mkuu wa Ujumbe wa China, katika mkutano
wa Mkutano wa 20 wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, Xie
Zhenhua, wakati walipokutana kwa mazungumzo baada ya kuhudhuria na
kuhutubia katika mkutano huo unaoendelea Jijini Lima nchini Peru, ambapo
alizungumza kwa niaba ya nchi za Afrika kuhusu utekelezaji wa maazimio
mbalimbali ya mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na mambo mengine Dkt.
Bilal alizungumzia namna nchi za Afrik zilivyojizatiti katika maazimio
mbalimbali yanayolenga kunusuru majanga yatokanayo na Tabianch
Makamu
wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na baadhi ya Mawaziri wakati wakitoka katika chumba cha
mkutano huo. Picha na OMR
Taarifa ya Vyombo vya Habari
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMUWAKILISHA
RAIS JAKAYA KIKWETE KWENYE MKUTANO WA MAZINGIRA
(COP20) JIJINI LIMA, PERU DESEMBA 10, 2014
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal jana Desemba 09, 2014 amemuwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete
ambaye ni Mwenyekiti Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali Barani Afrika
kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi, kwenye mkutano wa Kimataifa wa
Mazingira Duniani (Cop20) unaofanyika jijini Lima, Peru.
Pamoja na shughuli nyingine ambazo zimemuhusisha Mheshimiwa Makamu wa
Rais Dkt. Bilal katika Mkutano huo ikiwa pamoja na kuwa eneo la
Mazingira nchini liko chini ya Ofisi yake, Mheshimiwa Dkt, Bilal alipata
fursa ya kutoa hotuba kwa niaba ya Wakuu wa Nchi za Afrika siku ya
Ufunguzi wa Mkutano huo, huku akisisitiza katika hotuba hiyo umuhimu wa
kila nchi kushiriki katika kukabiliana na hali ya mabadiliko ya tabia
nchi na tena akaelezea kuwa, hakuna anayeweza kupona kwa kujificha ama
kuachia kazi hii ifanywe na nchi baadhi na akaongeza kuwa, wanaochangia
kwa kasi kubwa kuathiri mazingira wanatakiwa
kutambua kwamba wanayoyafanya hayatawanufaisha milele hivyo nao
washiriki kwa vitendo katika kukabiliana na janga hili kubwa
linaloikumba dunia kwa sasa.
Awali akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, Katibu Mkuu wa Umoja
wa Mataifa Ban Ki-moon alieleza kuwa yapo mabadiliko ya tabia nchi
ambayo kimsingi yametengenezwa na binadamu wenyewe na kama binadamu
wakiamua kukabiliana nayo
wanaweza kabisa kuyatokomeza. Pia alifafanua kuhusu nadharia ya nchi
kushirikiana kwa kuwa mabadiliko haya kwa sasa athari zake hazina mipaka
na kwamba nchi zote lazima ziwe katika sehemu ya utatuzi wa tatizo hili
kubwa linaloikabili dunia.
“Tutumie mapendekezo ya Lima kufungua njia mpya, tuwe na vipaumbele
vinavyotekelezeka na kuonekana, Tutoke hapa Lima na twende kuandika
historia mpya kwa dunia yetu,” alimalizia Ban Ki-moon.
Kwa upande wa Rais wa mkutano huo (Cop20) Manuel Pulgar-Vida ambaye pia
ni Waziri wa Mazuingira wa Peru, alitumia nafasi hiyo kuwakaribisha
washiriki wa mkutano huo nchini Peru kwa niaba ya Rais wa nchi hiyo
Mheshimiwa Olanta Humala na kisha akafafanua kuwa nchi ya Peru imepitia
masaibu kadhaa ya kimazingira na hivyo kupata nafasi ya kuandaa mkutano
huu kwao ni heshima na wajibu katika dunia na kwamba anategemea maazimio
ya Lima yasaidie dunia katika kukab iliana na tatizo hili
linalokuwa la mabadiliko ya tabia nchi.
Kauli ya Mheshimiwa Manuel Pulgar inasadifu ile aliyoitoa pia
Christiana Fugueres, Katibu Mtendaji wa Umoja wa Mataifa wa Mkakati wa
kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi ambaye aliuambia mkutano huo
kuwa, wakati umefika kwa nchi zote kukabiliana na matatizo ya mabadiliko
ya tabia nchi kwa pamoja kwa kuwa yanachangia kuongeza umaskini na ili
jamii ipate ahueni, basi ni wajibu kwa kila binadanmu kuchukua nafasi
yake katika kukabiliana na hali hii iliyopo.
Katika tukio jingine, Mheshimiwa Makamu wa Rais alipata fursa ya
kukutana na Ujumbe kutoka Marekani uliongozwa na Mjumbe Maalum kutoka
Serikali ya Marekani anayehusika na masuala ya Mabadiliko ya Tabia nchi
Todd Stern, ambaye alimueleza Mheshimiwa Makamu wa Rais kuhusu utayari
wa serikali ya Marekani katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko
ya tabia nchi na kwamba nchi yake itashirikiana nan chi zinazoendelea
ikiwemo Tanzania katika suala hilo.
Vile vile Mheshimiwa Makamu wa Rais alipata nafasi ya kukutana na
ujumbe kutoka Jamhuri ya Watu wa China ulioongozwa na Mheshimiwa Xie
Zhenhua ambaye alizungumzia kuhusu ushirikiano baina ya nchi
zinazoendelea na zile zilizoendelea katika suala la mabadiliko ya tabia
nchi na akafafanua kuwa Tanzania na China zina uhusiano wa kindugu hivyo
kama kutakuwa na jambo la kipekee baina ya nchi hizi mbili basi
serikali ya China iko wazi kulipokea.
Rais Kikwete atunuku nishani za miaka 50 ya Uhuru
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Augustino Stephene Ramadhan katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Ali Salum Ahmed katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Mohammed Fakih Mohammed katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la tatu Amani Issack
Abraham Sepetu kwa niaba ya Baba yake Issack Abraham Sepetu (marehemu)
katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
jana.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la tatu Ali Ameir
Mohamed katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la nne Haji Machano Haji katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la nne Bibi Johari Yussufu Akida katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na
Sophie Mbeyu Blog
twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail
WELCOME SOPHIE MBEYU BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP
PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: +460762898798 | Email:
sophiambeyu@msn.com | KARIBU SOPHIE MBEYU BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO
HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: +460762898798 |
Barua Pepe: sophiembeyu@msn.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG
CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI
BOFYA HAPA
Home
About
Products
LIVE TV
Radio
Contact
Wednesday, 10 December 2014
BAADA YA KUPAMBANA NA JAMBAZI MUUZA CHIPSI APEWA NISHANI NA RAIS KIKWETE
Rais Jakaya Kikwete jana aliwatunuku nishani Watanzania 28, akiwamo
muuza chips, Kassim Said Kassim (28), ambaye aliyepewa nishani na
ushupavu baada ya kupambana na kumdhibiti jambazi mwenye silaha.
Hafla ya utoaji wa nishani hizo ilifanyika jana jioni katika Viwanja vya
Ikulu na kuhudhuriwa na mabalozi na viongozi mbalimbali wa Serikali,
huku Kassim akiwa kivutio kutokana na idadi kubwa ya watu kushangazwa na
ujasiri wake wa kupambana na jambazi mwenye silaha.
Kijana huyo alikuwa wa mwisho kutajwa na baada ya mshereheshaji wa hafla
hiyo kueleza historia yake kwa kifupi kwamba alizaliwa mwaka 1986,
iliibuka miguno kutoka kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo na
aliposimulia kisa chenyewe, kila mtu aliduwaa. Baadaye Kassim alimweleza
mwandishi wetu: “Nilikuwa nafanya biashara ya chips eneo la Buguruni
Malapa. Nakumbuka Julai 7, mwaka jana saa tatu usiku tulivamiwa na
jambazi aliyekuwa na bastola na kuanza kuwatishia wateja, akitaka
kupatiwa fedha na vitu mbalimbali.
“Kwanza alianza kuwashinikiza wateja wampatie fedha na alipoona hakuna
aliyemsikiliza, alichomoa bastola na kumtishia mmoja wa wateja, hapo
ndipo nilipoamua kupambana naye.”
Alisema alichukua chepe na kumpiga nalo mara mbili sehemu ya kichwani
hadi alipoanguka na kuzirai. Alisema baada ya hapo, alitoa ripoti polisi
ambao walifika na kumchukua.
Viongozi waliotunukiwa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano
Daraja la Pili ni Adam Sapi Mkwawa (marehemu), Erasto Man’genya
(marehemu), Pius Msekwa, Samuel Sitta, Francis Nyalali (marehemu),
Augustino Ramadhani, Timoth Apiyo (marehemu), Paul Rupia, Ali Salum
Ahmed na Mohammed Fakih Mohammed.
Waliopewa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu
ni Peter Kisumo, Anna Abdallah, Kingunge Ngombare-Mwiru, Isaack Sepetu
(marehemu), Alli Mzee Alli (marehemu), Brigedia Jenerali mstaafu Adam
Mwakanjuki (marehemu). Ali Ameir Mohamed, Al-Noor Kassum, Jenerali
mstaafu Ernest Kiaro (marehemu), Solomon Liani (marehemu), Augustine
Mahiga, Phillemon Mgaya, Ambindwile Mwaijande (marehemu) na Simeon
Mwanguku.
Waliopewa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Nne ni
Sophia Kawawa (marehemu), Haji Machano Haji, Johari Yusufu Akida na
Bendi ya Atomic Jazz. Jenerali mstaafu David Musuguri alipewa Nishani ya
Operesheni Safisha Msumbiji huku Kassim akipewa nishani ya ushupavu.
Chanzo: Mwananchi
Posted by Sophia Mbeyu at 17:15
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
No comments:
Post a Comment
Links to this post
Create a Link
Newer Post Older Post Home
Translate
Powered by Translate
PLACE YOUR ADS HERE
PLACE YOUR ADS HERE
TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA
TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA
UNAHITAJI BOFYA PICHA HII KUONA PICHA ZAIDI
About Me
My Photo
Sophia Mbeyu
View my complete profile
Blog Archive
Popular Posts
MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2014 YAMETOKA, INGIA HUMU KUONA
DK. CHARLES E. MSOND E AKITANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA MAPEMA
HII LEO OFISINI KWAKE,MSONDA AMESEMA MATOKEO YA MWAKA HUU UFAURU WAKE
...
MITINDO YA VITENGE KWA WANAWAKE NA WANAUME...
KAMA INAVYYONYESHA PICHA! VAZI LAKITENGE LAWEZA KUTUMIWA KAMA VAZI
LA OFISI AMA CASUAL SIO LAZIMA KITENGE KIWE N...
MITINDO YA VITENGE KWA AKINA DADA NA WATOTO..
MITINDO MBALIMBALI YA VITENGE, VIATU NA HANDBAG ZA KITENGE....
MITINDO YA VITENGE,VIATU, MIKUFU KWA AJILI YA SHEREHE MAALUM!
MITINDO YA VITENGE
HII NI SKIRT ILIYOSHONWA KWA KITENGE! KAMA TULIVYOONA SASA HIVI
VITENGE SIYO TU MAGAUNI HATA SKIRT, SURUALI NA E.T.C... AKINA B...
MITINDO BOMBA YA VITENGE!
Huhitaji nguo za majina kupendeza, kitu cha kitenge tosha kabisa
kukutoa bomba!
MITINDO MBALIMBALI YA VITENGE.....
MITINDO YA VITENGE
Mitindo ya Vitenge inaweza kushonwa katika dizain mbalimbali, hii
inaonyesha mitindo kwa vijana ni katika kuonyesha kuwa kitenge si lazima
...
MITINDO YA VITENGE KWA WOTE,.... WADAU WA VITENGE KILA WIKI KUNA
POST YA VITENGE FUATILIA POST ZA NYUMA KUPATA MITINDO MBALIMBALI
ZAIDI...
Labels
African day 2008 may
AMUUA BABA YAKE KUMUOKOA SHANGAZI YAKE ALIYEKUWA ANABAKWA-
NACHINGWEA
ARIEL SHARON AFARIKI
ASEMA YADHOOFISHA UCHUMI AFRIKA
aswira Kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar:Rais wa
Comoro Awasili Zanzibar Kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya
Mapinduzi
BAADA YA BASI KUGONGA NA KUUA WATATU
BABA NA MWANA JAY-Z NA MWANAE BLUE IVY..
Biza mupulu artist
Biza mupulu Botswana
BREAKING NEWS: FIFA YAHAMISHA MUDA WA KOMBE LA DUNIA MWAKA 2022 HUKO
QATAR
HABARI ZA KIMATAIFA/ WAUMINI WAUAWA MSIKITINI NCHINI NIGERIA
HABARI ZA UMBEYA/. WAKATI WEMA AKITUMA VIDEO YA DIAMOND AKIWA
KITANDANI
HAKUNA KAMA MWANAMKE
HAPO NAPO SASA
IGP ATANGAZA MABADILIKO MAKUBWA JESHI LA POLISI.
IJUMAA NJEMA WADAU WA SOPHIEMBEYU BLOG....
IMETANGAZWA RASMI KESHO NI SIKU YA MAPUMZIKO KUSHEHEREKEA MAPINDUZI:
Kundi la FM Academia
KUTWAA TUZO YA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NJE YA AFRIKA
Machael Jackson kuaga dunia
MADAWA YA KULEVYA YAINGIZWA SUPERMARKET KATIKA MAKASHA YA NDIZI
MAGAZETI YA LEO IJUMAA 10 JANUARY 2014
Magonjwa ya mlipuko yanukia jijini Dar
MAN UNITED YAZINDUKA
Mariam bongo
MAWAZIRI WAPYA WATANO WATAJWA TANZANIA
MITINDO YA NYWELE
MITINDO YA VITENGE
MKAPA AIPONDA MISAADA KUTOKA NJE
MSIKIE JOKATE AKIONGELEA MUZIKI NA FILAMU.......
Mwekezaji abomoa nyumba za wananchi wa Mkuyuni-Morogoro ili kupisha
ujenzi wa Majosho.11 jan mgogoro
Nondoz wa Bongo waliokamilisha kisomo chao Data India.
Pablo Machine Familia dar
Pablo Machine na watoto
Pablo Machine na wakenya kwenye festival
Pablo Machine Sabiti
PENNY NAE ANENA "HAITATOKEA KAMWE NIKAMDHARAU DIAMOND
PICHA ZA WATUHUMIWA WALIOKAMATWA WAKISAFIRISHA SILAHA ZA KIVITA
KATAVI
PICTURE OF THE DAY..KWA RAHA ZAO
Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Aendelea Kutunuku Nishani
Rihanna out in Barbados
RWANDA YAKANUSHA UVUMI KUHUSU KIFO CHA KAGAME
SABABU YA KIFO CHA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA
TASWIRA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR
LEO 12/01/2014
UNAKANDAMIZA ...
VAZI LA LEO
Wa Bongo
WAFANYABIASHARA WA DAR WAGOMEA MASHINE ZA KODI ZA TRA
WAFUNGA MADUKA LEO
Wakali bongo hawo
WANANCHI WALITEKETEZA BASI KWA MOTO
WAZIRI KIGODA : MFUMO MASHINE EFDs NI MBOVU
WEEKEND NJEMA WADAU WA SOPHIEMBEYU BLOG....NAWAPENDAAA MINGIIII.
WEMA NI MAMA KIJACHO? SOMA ALICHOANDIKA HAPO
Wizara ya maliasili na utalii imewasimamisha kazi watumishi wake 22
wa idara ya wanyama pori
YAICHAPA 2-0 SWANSEA CITY
Yatima Dar walilia madarasa yakujisomea
PLACE YOUR ADS HERE
PLACE YOUR ADS HERE
powered by
Slideshow
Sikiliza clouds radio
SIKILIZA KWANZA JAMII RADIO
Followers
Google+ Followers
Total visitors
Total Pageviews
Sparkline 1278904
CLOCK & CALENDAR
buy research paper custom essay writing answering service care
December 2014
S M T W T F S
1 2 3 4 5 6
7 8 9 10 11 12 13
14 15 16 17 18 19 20
21 22 23 24 25 26 27
28 29 30 31
Free Counter
Counter Free
PLACE YOUR ADS HERE
PLACE YOUR ADS HERE
WEBSITES & BLOGS
MICHUZI
JIACHIE
BONGOBLOGS
TanzMED
Wavuti
Allyshams
Myummah76
Francis Godwin
Globalpublishers
Full Shangwe
Ladyjaydee
Swahili TV
TMF
Haki Ngowi
Mimi na Tanzania
Mo Blog
Chadema Blog
CCM Blog
January Makamba
Zitto kabwe
Habari Leo
Daily News
Mwananchi
Mtanzania
Tanzania Daima
Raia Mwema
Majira
Mwanaspoti
The Citizen
Daraja Letu
IPP Media
Bashir Nkoromo
BBC Swahili
Sauti ya Amerika
Jamii Forums
BLOG DEVELOPMENT
BLOG DEVELOPMENT
AUDIO BAR
SIKILIZA BRAND NEW TRACK HAPA!!
VIDEO BAR
UNATAKA KUPUNGUA UZITO!!
CLICK THIS IMAGE
Contact Form
Name
Email *
Message *
TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA
TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA
UNAHITAJI BOFYA PICHA HII KUONA PICHA ZAIDI
UNAHITAJI KUPUNGUA UZITO
WEIGHT MANAGEMENT
UNAHITAJI KIKAPU
UNAHITAJI KIKAPU
SANDALS
SANDALS
ADVERTISE WITH US
PLACE YOUR ADS HERE
AFRICAN FASHION
TANGAZO BOFYA!
Copyright (c) 2007 Sophie Mbeyu Blog | Maintained By ALLY S MGIDO'S
+255657615174
Make Money at : http://bit.ly/copy_win

Balozi Seif Atembelea Jengo la Maabara Kuu Mombasa.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na mwenyeji wake
Mrajisi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Dr. Burhan Othman Simai
akikagua Maabara ya Bodi hiyo iliyopo kwenye jengo lao jipya liliopo
Mtaa wa Mombasa nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Mrajisi
wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Dr. Burhan Othman Simai akimpatia
maelezo Balozi Seif juu ya juhudi wanazochukuwa watendaji wa Bodi hiyo
kukagua bidhaa mbali mbali zinazoingizwa nchini ili kujua ubora wake.
Mratibu
wa mradi wa EAC – MRH ulio chini ya Bodi ya Chakula na Dawa Zanzibar
Bibi Hidaya Juma akitoa maelezo ya maendeleo ya mrtadi huo mbele ya
Balozi Seif aliyefika katika Jengo la Bodi hiyo kulikagua.Kushoto ni Mrajisi wa Bodi ya Chalkula na Dawa Dr. Burhan Othman Simai.
Meneja
wa Kitengo chaMtandao wa mawasiliano ya Kompyuta cha Bodi ya Chakula na
Dawa { ZFDB } Ndugu Mohamed Yahya Said aliyevaa shati rangi ya buluu
akielezea mfumo wa Mradi wa MRH unaotoa fursa kwa Bodi ya Chakula na
Dawa kuwa na mawasiliano ya moja kwa moja ya mamlaka za Bodi nyengine
Duniani.(Picha na Hassan Issa OMPR)