Lucy Komba Ampelekea Mzungu Mwanaye Amlee
Akipiga stori na paparazi wa GPL kupitia Mtandao wa WhatsApp akiwa nchini Denmark, Lucy alisema aliamua kuondoka kimyakimya na kumfuata mumewe kwa kuwa alimisi mambo mengi kwake, pia suala la ndoa halimuhitaji aishi mbali na mumewe na kwa kuwa mwanaume huyo anampenda sana mtoto wake japo hajazaa naye ndiyo maana akaamua kuondoka naye akamlee.
“Najua mtu anaweza kuongea vyovyote, mimi nilimmisi mume wangu na mwanangu naye alitamani sana kuja kumsalimia baba yake ndiyo maana nikamleta huku amlee ila baadaye atarejea Bongo,” alisema Lucy.
No comments:
Post a Comment