Umeisikia ya daktari kumlazimisha mwanamke kumeza dawa za kutoa ujauzito?
Dokta huyo wa New York amekutwa na
hatia, anatakiwa kujibu mashtaka matatu ambayo yametokana na
kumlazimisha mwanamke mmoja kunywa dawa za kutoa ujauzito, amefikishwa
Mahakamani kusomewa mashtaka kisha kurudishwa jela na dhamana yake ni
dola 50,000.
Daktari kaingia kwenye hatia hiyo baada
ya upelelezi kubaini kwamba anahusika na kitendo hicho ambapo mwanamke
aliyetumia dawa hizo alipata majeraha sehemu za kooni na mdomoni.
Nitaendelea kukupatia kila stori
inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia
twitter na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza
No comments:
Post a Comment