Punda anasifika kwa kubeba mizigo mizito… lakini uzito wa jamaa huyu ulimshinda na kumsababishia kifo
Sabu ya kifo cha punda aliejulikana kwa jila na Platero inasemekana ni uzito uliopitiliza wa mwanaume huyo na kusababisha kumpa maumivu makali mnyama huyo hadi alipopoteza maisha baada ya siku tatu.

Picha hiyo iliwekwa katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 38 akitabasabu huku akipiga picha na mnyama huyo.
Baada ya siku mbili Punda huyo aliyekua akiugulia maumivu alishindwa kusimama na baada ya uchunguzi wa Polisi aligundulika kuvunjika baadhi ya viungo vyake kutokana na kubeba kitu kizito.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter na facebook ukijiunga na mimi
No comments:
Post a Comment