Idriss
Sultan Mtanzania aliyetikisa Bigbrother leo ameibuka mshindi wa
shindano hilo na kuwabwaga washiriki kutoka mataifa mbalimbali
yaliyoshiriki katika shindano hilo akiibuka na kitita cha shilingi
milioni 500 za Kitanzania katika shindano hilo lililokuwa likiendelea
kwa miezi mitatu nchini Afrika Kusini Idriss ni Mtanzania wa tatu
kushinda shindano hilo akitanguliwa na Mwisho Mwampamba na Richard wote
wakiwakilisha vizuri taifa la Tanzania katika shindano hilo, Fullshangwe
inampa hongera sana Idriss kwa ushindi huo na inamtakia kila mafanikio
katika maisha yake.
No comments:
Post a Comment