*DIAMOND ATUA MARYLAND KUPIGA SHOO YA SHEREHE ZA UHURU TANZANIA
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul, 'Diamond' akiwasili kwenye
uwanja wa kimataifa wa Dulles tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru
itayofanyika muda si mrefu Sheraton, ya Downtown Silver Spring,
Maryland.
Diamond akipunga mkono kusalimiana na mwenyeji wake hayupo pichani mara tu baada ya kuwasili Dulles.
Kutoka (kushoto) ni Dj Romy Jones, Diamond na mmoja wa waratibu wa sherehe ya Uhuru Bwn. Phanuel Ligate
No comments:
Post a Comment