MWANAMKE ATAKA KUMTUMBUKIZA MWANAY
Mwanamke Veronica Madebe katikati ya umati wa watu
Mwanamke
mmoja amekutwa akitaka kumtumbukiza mwanaye wa kiume mwenye umri wa
kati ya miaka mitano hadi saba kwenye kisima cha maji, kutokana na
kinachosadikiwa kuwa ni imani za kishirikina, Kihonda Morogoro.
Hali
ya sintofahamu imeibuka katika mtaa wa Azimio, kata ya Kihonda katika
manispaa ya Morogoro, baada ya mwanamke mmoja, Veronica Madebe, kukutwa
akitaka kumtumbukiza mwanaye wa kiume ambaye ni pacha, mwenye umri wa
kati ya miaka mitano hadi saba kwenye kisima cha maji, kutokana na
kinachosadikiwa kuwa ni imani za kishirikina
No comments:
Post a Comment