Katika
kuadhimisha miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake , msanii wa filamu nchini hapa
Jacqueline Wolper Massawe ‘Wolper’ ametoa msaada kwa wazee wasiojiweza wanaoishi katika kituo
cha Msimbazi Centre jijini Dar, ambacho kiko chini ya kanisa
Katoliki.
Kabla
ya kutoa msaada huo Wolper alisoma dua nyumbani kwake na
baadaye kwenda katika kituo hicho na kutoa msaada wa vyakula kama Mchele
kg 100, Unga wa sembe kg 50, sukari kg
100 na mafuta ya kula madumu mawili.
No comments:
Post a Comment