MDOGO WAKE ZARI APONDA UHUSIANO WAKE NA DIAMOND
Mdogo
wake na Zari Hassan aka The Bosslady, aitwaye Karim ametumia Facebook
kumkosoa dada yake kwa kuwa na uhusiano na Diamond Platnumz ambaye
anamzidi miaka 9.Kwenye post hiyo, Karim aliandika: You are
ashaming us, how can you date a boy my age. You moved from one man to
another in less than 3 days.”Akitumia akaunti yake binafsi ya Facebook
yenye jina ‘Zarinah Tlale’, kujibu post hiyo ya mdogo wake huyo ambaye hapendezwi
na kitendo cha dada yake kuwa na uhusiano na mtu mwenye umri kama wake, Zari alisema si Karim aliyeiandika.“Diamond is just a friend of mine. It’s never been written that female and male can’t be friends, it’s just the backward people that use that kind of perspective to blow things out of
No comments:
Post a Comment