Hii ni story kuhusu Rose Muhando kutekwa na kufanya Mapenzi....
Nyota wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando.
NYOTA wa
Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando (pichani)amefungukia eneo fupi la
maisha yake magumu ambapo alisema amewahi kutekwa kwa bastola na
mwanaume mmoja, akampeleka msituni ambako alimlazimisha kuwa naye
kimapenzi lakini akadunda.Akizungumza
na Gazeti la Amani juzi, Rose alieleza kwa machungu kwamba, tukio hilo
lilimkuta hivi karibuni mjini Dodoma ambako ndiko kwenye makazi yake ya
kudumu.Ilikuwa ni katika mahojiano ya kukiri kwake (my confession)
ambapo Rose aliweka bayana kuhusu mazingira ya tukio hilo la kushangaza.
MSIKIE MWENYEWE
“Dunia
ina mambo mengi sana ndugu zanguni, wengine wema, wengine waovu. Mimi
nakumbuka siku moja kuna mwanaume ambaye nilikuwa na ukaribu naye.“Huyu
bwana, ana jina kubwa sana Dodoma. Alinichukua kwenye gari kwa ajili ya
kunisaidia mambo fulani maana alikuwa ananisaidia katika kazi zangu.
Bunduki, Mabomu pamoja na Magazine.
“Nilishangaa kumuona anapeleka gari nje ya mji, nikamuuliza tunakwenda wapi, akasema tulia utajua.
“Sikuwa nimemuwazia ubaya, hivyo nilitulia lakini matokeo yake akanipeleka hadi porini ambako alikutana na watu wengine, naamini walikuwa wasaidizi wake.
No comments:
Post a Comment