Hii ni picha ya tatu ya Kelly Rowland kwenye Instagram ikimuonyesha akiwa na mwanaye

Siku chache baada ya kufiwa na mama yake mzazi,nyota wa muziki Kelly nchini Marekani Roland ameendelea kuonyesha furaha yake dhidi ya mwanaye Titan baada ya kuweka picha ikimuonyesha akiwa amembeba.
Msimamo wake wa kutoonyesha sura ya mwanaye umeendelea kuonekana kwani katika picha hiyo haijaonyesha wazi kutokana na kuwa ya kivuli ambapo imeonyesha akiwa amembeba huku akiweka ujumbe ulionyesha furaha aliyonayo licha ya kupotelewa na kipenzi chake ambaye ni mama yake mzazi Doris Rowland.

“My only sunshine……you make me happy, when skies are grey”#TITAN#LIFE.
Kelly na mumewe wamekua makini sana katika kuhakikisha hawaionyeshi sura ya mtoto wao na huwa mara nyingi wamekua wakionyesha picha ya sehemu nyingine ya mwili wake kama kichwa na miguu.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza
No comments:
Post a Comment