Umesikia sababu iliyomfanya jamaa ajikate sehemu zake za siri?

Oliver Ilic ambaye ana
umri wa miaka 23, leo kaingia kwenye orodha ya watu ambao wamewahi
kujidhuru kutokana na masuala ya kutendwa kwenye mapenzi huko Macedonia.
Oliver alijikata sehemu
zake za siri na kutupa katika kapu la kuwekea taka lililopo chumbani
kwake, ambapo alifanyiwa operation ya kuzirudishia japo madaktari
hawakuweza kutoa majibu kama jamaa huyo ataweza kurudi katika hali yake
ya kawaida.
Jamaa huyo amesema aliamua kujikata baada ya mpenzi wake kumwambia kuwa hana jipya kitandani.
Chanzo: Gazeti la Nipashe
Nitaendelea kukupatia kila stori
inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia
twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza
No comments:
Post a Comment