Kundi
la Weusi “Joh Makini, Nikki Wa Pili na G Nako” wamefanya mahojiano na
Mambo Mseto leo kupitia Radio Citizen na Presenter Mzazi Willy M Tuva.
Ni vizuri kwa wasanii wa Tanzania kufanya Interview na Ziara nchi
tofauti Africa huju wakitangaza muziki wao na kusambaza kazi zao mpya.
Muziki wa Weusi na Video yao ya Nje Ya Box Viliongelewa kwenye Mambo Mseto.





No comments:
Post a Comment