MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA

WaziriMkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu
wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani
kwake Masaki jijini Dar esSalaam

Mbunifu
wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka Kumtengenezea
Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia na
kuchagua aina ya vitambaa vya suti amabvyo vitatumika kutengenza baadhi ya Suti
Zake alipotembelewa na Mbunifu wa Kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi jana jijini
Dar es Salaam.Picha Zote: Atuza Nkurlu-Sheria Ngowi Brand
No comments:
Post a Comment