MAONESHO YA KEKI LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
Jumla
ya makampuni na watengenezaji keki wapatao 39 wameshiriki
katika maonesho hayo ya keki yalioandaliwa na kampuni ya Insights
Productions Limited kwa udhamini wa Kampuni ya Azam Tanzania.Maonesho
hayo yaliyojulikana kama ‘Azam World of Cakes Exhibition’ yalifanyika
jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Azam.
Moja ya keki ambazo zilishiriki ilitengenezwa kwa umbo la lori la mafuta la Azam.
Wakazi wa Dar es salaam wakianga;lia keki na kupata maelezo kutoka kwa wapishi.
Amina Ally kutoka kampuni ya Mina Cake ya jijini Dar es salaam akiwahudumia wageni waliotembelea meza yake.
Keki hii nayo ilivuta wengi
Mapambo na rangi za kuvutia...
Hii nayo ilivuta wengi
Wadhamini wa Onesho hilo la Keki.
Majaji
wa Maonesho ya ‘Azam World of Cakes Exhibition’ watipita kukagua,
kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata washindi.
No comments:
Post a Comment