Afisa uandikishaji wa
zoei la kuandikisha wahamiaji haramu kutoka nchi za maziwa makuu wanaoishi mkoani
Benny Moshi (kushoto) akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Idara ya Uhamiaji
anayeshughulikia udhibiti na usimamizi wa mipaka Abdullah Hamisi katika uwanja
wa lake Tanganyika mjini Kigoma ambako zoezi hilo linafanyika.
|
No comments:
Post a Comment