Hizi ni pichaz kutoka kwenye honey moon ya Solange na mume wake! nchi gani wamekwenda?
Wiki
chache zilizopita staa huyu alifunga ndoa na mume wake ambaye ni
director wa video ambapo baada ya headlines za harusi yao ambayo picha
za mwanzoni ziliwaonyesha wakitembea wanaendesha baiskeli na wakati
mwigine wakizikokota, sasa headlines zimehamia kwenye honey moon.
millardayo.com imekuwekea picha hizi picha zao Solange Knowles na mume wake Alan Ferguson
wakiwa kwenye bata la honeymoon nchini Brazil ambapo Solange
aliambatanisha maneno yanayoonyesha kuwa amefurahia kuwa hapo katika
kipindi hiki cha fungate.
“… Thank you Trancoso for being the
most magical lil place to “honey our moon”…. Brazil could not have been
kinder to us and our love…”– Solange Knowles.












Nitaendelea
kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia
wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
kwa kubonyeza >>>twitter Facebook
No comments:
Post a Comment