Hii ni ya mzee anaehofia kaburi lake kuuzwa…
Katika
hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 80 ameomba msaada wa
serikali kuingilia kati na kuzuia mtoto wake kuuza shamba lake ambalo
alilichimba zaidi ya miaka 35 iliyopita.Amesema tofauti na matarajio yake alikuwa akiamini Mtoto huyo angekuja kumsaidia uzeeni lakini ndio amekuwa akiuza shamba hilo bila ruhusa yake na kuhofia kuwa anaweza kuuza hata kipande cha shamba ambacho amechijimbia kaburi lake.
No comments:
Post a Comment