Mama mmoja mjini Iringa aamua kumtupa mtoto wake chooni mara baada ya kumzaa nyumbani.
Mtoto huyo wa kiume aliyezaliwa tarehe 4/11/2014 majira ya jioni na mama huyo na kuamua kumdumbukiza chooni ambapo kisa mpaka sasa anamkwepa mumewe aliyepo safarini asijue kuwa amepata mimba na kuzaa.
Hata hivyo chanzo cha habari kinasema kuwa, mama huyo kwa jina la
Magdalena limano (32) mkazi wa Iringa ana tabia ya kumdanganya mumewe na
kutoka na mabwana wengine pindi mumewe akiwa safarini kikazi.
Mtoto huyo aliyetupwa chooni majira ya jioni mara baada ya kuzaliwa na kukutwa asubuhi ya tarehe 5/11 akiwa analia ndani ya choo na majirani na kutoa taarifa.
Mpaka sasa mtoto ni mzima wa afya na yupo katika uangalizi mzuri wa hospitali huku mama akishikiliwa na jeshi la polisi akisubiri kupandishwa mahakamani.
Picha zifuatayo linaonyesha tukio kamili

No comments:
Post a Comment