Thursday, November 20, 2014

Audio: Chameleon akanusha kuomba collabo kwa Diamond

Zile ripoti zilizozagaa kuwa msanii maarufu Africa kutoka Uganda Jose Chameleone  aliomba collabo kwa Diamond amezikanusha mwenyewe 
Chameleon amesema anachojua yeye ni kuwa kampuni inayomiliki application ya Muziki ambae balozi wake Tanzania ni Diamond ilimuomba kufanya collable ya wimbo ambao utakuwa ni anthem na Diamond kwa ajili ya app hiyo ambapo kampuni hiyo bado ipo kwenye mazungumzo nae na si kuwa yeye alimpigia Diamond kuomba Collable.

"Sio mimi nimempigia Diamond kumuomba tufanye collabo na kitu kama hicho, wale wa Muziki App ndio wanahitaji mimi na yeye tufanye kazi ya anthem ya Muziki App.Wanajaribu kuunganisha yeye na mimi tufanye collaboration lakini eti mimi nimemu-whatsapp na nimemuomba collaboration thats not right" amesema Chameleon anaifanya vizuri na wimbo wake wa wale wale kwa sasa.
m not at a level of asking for a collaboration from any artist in that manner, sio kwamba sina heshima yake (Diamond) ama kitu kama hicho lakini thats not the truth, haiwezi kuwa hivyo. I have been doing music for the past 14 years, right? so iam not an upcoming

No comments:

Post a Comment