
Scott ameshutumiwa na Chama hicho kwamba
amekuwa akitumia vyombo vya habari kujitangaza yeye zaidi na kujitenga
na agenda za chama chake na amekuwa akifanya maamuzi mengi bila ya
kushirikisha chama chake.

Mbali na adhabu hiyo bado Scott anaendelea kuwa Rais wa Zambia mpaka atakapochaguliwa Rais mwingine kwenye uchaguzi utakaofanyika mwakani, japo yeye hatokuwa na nafasi ya kugombea kiti hicho tena.
No comments:
Post a Comment