Saturday, November 22, 2014

Hawa ni wanawake pekee waliopo kwenye listi ya watu Matajiri zaidi Afrika.



Isabela dos Santos
Isabela dos Santos
Unajua kwamba kwenye listi ya matajiri 50 Afrika kuna wanawake wawili wanaoingia kwenye listi ya matajiri hao?
Jarida la Forbes lilitoa listi ya matajiri hao ambapo Aliko Dangote mfanyabiashara kutoka Nigeria anaongoza kwenye listi hiyo.
Wanawake hao wawili ni Isabel dos Santos ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos amewekeza kwenye miradi mbalimbali ikiwemo kampuni za mitandao ya simu za mkononi ni mwanamke tajiri zaidi ambaye ameingia kwenye listi hiyo, pamoja na Folorunsho Alakija ambaye ni mfanyabiashara na mwanamitindo wa Nigeria.
Folorunsho Alakija 
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twittet na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza
Folorunsho Alakija

No comments:

Post a Comment