Saturday, November 29, 2014

LADY GAGA KUFUNGA NDOA?


hizi ni picha za video mpya ya lady gaga..
Stefani Germanotta maarufu kama Lady Gaga ameripotiwa kutaka kufunga ndoa na boyfriend wake wa siku nyingi Taylor Kinney..
rafiki wa karibu na gaga amesema ndoa hiyo inatarajiwa kufungwa kipindi cha kiangazi..
lady gaga ambae ana miaka 26 sasa alianza mahusiano ya kimapenzi na supanyota huyo wa vampire diaries mwaka 2011 na sasa wako tayari kuwa kitu kimoja..
Haya sie tunaisubili hiyo harusi kwa hamu zote..
#GAGA#

No comments:

Post a Comment