MRADI WA KUWAWEZESHA AKINA MAMA KATIKA KILIMO PAWAGA
Mwakilishi wa ubalozi wa marekani
David Feldmann akihutubia mamia ya wakazi wa vijiji vya tarafa ya Pawaga
wakati sherehe ya kufunga mafunzo ya mradi wa kuwawezesha akina katika
kilimo kupitia asasi ya mpango salama wa maendeleo ya vijana (SYDS) kwa
ufadhili ya watu wa marekani. Alisema kuwa kilimo bora ni kile chenye
kuleta tija na mafanikio.(Picha
No comments:
Post a Comment