chini
Hekaheka
ya leo muigizaji maarufu Single Mtambalike maarufu kama Richie,
ameelezea hekaheka yake ya kusingiziwa Mtoto na mwanamke kutoka
Shinyanga ambaye alifika nyumbani kwake akiwa na mtoto mchanga na kudai
ni mtoto wa msanii huyo.
Richie amesema wakati huo ndoa yake
ilikuwa changa na mke wake alikuwa na mtoto mchanga kwa hiyo hii ishu
iliitingisha sana ndoa yake, anasema hakuwahi kumwona mwanamke huyo,
hivyo baada ya kukasirishwa na kitendo hicho alijikuta akimpiga Mwanamke
huyo makofi.Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa

No comments:
Post a Comment