P-Square wamepata pigo lingine,wamefiwa na baba yao mzazi.
Mapacha kutoka nchini Nigeria Peter Okoye&Paul Okoye P- Square
pamoja na kaka yao Jude Okoye,Jumatatu ya Nov 24 wamempoteza mzazi
aliyebakia ambaye ni baba yao mzazi hii ni miaka miwili tangu afariki
mama yao.
tovuyi ya www.Naij.com imesema kuwa
Mr.Okoye alikua akisumbuliwa na maumivu ya Goti baada ya kufanyiwa
upasuaji ingawa hali iliripotiwa kuendelea vizuri.
No comments:
Post a Comment