Avril ampa sifa nyingi boyfriend wake mpya, Mfanya biashara kutoka South Africa
Msanii kutoka
Kenya "Avril" ambae ameshawahi kuzushiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi
na wasanii kama Diamond baada ya kuonekana kwenye video yake (kesho),
Jalaong'o na mwanamuziki wa Kenya, G Kon ameamua kufunguka kuhusu
mwanaume anaem-date baada a kukanusha kutoka na niliowataja hapo juu
Kwanza kabisa
Avril hana uhusiano wa kimapenzi na mtu ambae anajulikana, boyfriena
wake kwa sasa ni mfanya biasharakutoka South Africa, ambae muimbaji huyo
amemmwagia sifa kibao akisema ni kiasi gani anamkubali
katika
moja ya interview aliyofanya na Ghafla, Avril amesema boyfriend wake wa
sasa alikutana nae baada ya kuelekezwa kwake akitaka kufanya kazi
katika tasnia ya muziki, wamekuwa wakichat kwa takriban mwezi mzima na
baadae kuamua kuchanganya kazi na starehe.
Alipoulizwa
kwanini hakutaka kumuweka wazi kwa umma boyfriend huyo, Avril amesema
hapendi kujulikana na yeye pia anapenda maisha yake binafsi kuwa
binafsi, "Mi sipo kwa ajili ya kujionyesha kwa familia yangu, napenda
kuwa "Nyambura" mahusiano yangu siku zote yamekua chini ya radar
alielezea Aviril
No comments:
Post a Comment