Ukiangalia Diamod Platnumz ana wfuasi wengi sana katika mitandao y
akijamii ambapo kwa upande wa Instagram pekee ana zaidi ya watu laki mbi
na nusu wanaomfata..
Namba hizo sio sifa tu kwa Diamond
kuonekana kuwa na wafuasi wengi kuliko msanii yoyote Tanzania bali
hutumia mitandao hiyo kuendelea kutangaza kazi zake ndani na nje ya
tanzania kwa muwa licha ya kupata sapoti ya kutosha kutoka kwenye media
zetu lakini kuna sehemu zingine hazifiki, so hutumia mitandao ya kijamii
kujitangaza duniani kote
"Mi nafakiri inakuwa inasaidia sana kwasababu mziki au mwanamuziki ni
kama ni biashara so na lazima ujitangaze ukiangalia mitandao hata ya
simu kuna bidhaa mbazo sisi tumekuwa tumezikuta lakini mpaka leo bado
zinajitangaza mpaka zingine zinatufata sisi tuziatangaze, haimaanishi
sisi ni wakubwa kuliko hizo bidha lakini wanajua umuhimu wa makert so na
sisi kama wasanii lazima tuhakikishe tunajitangaza kila dakika, na
kiukweli media
zetu zinatusapoti sana kutupromote so na sisi pia lazima tujitangaze
tupige miguu yote miwili so mtandao kiukweli unasaidia sana sana sana
kwasababu kuna sehemu nyingine baadhi ya media zetu hazifiki so
zmitandao inakuwa inalift kukusaidia kufika." amesema Diamond.. zaidi
msikilize hapa chini
No comments:
Post a Comment