Monday, November 24, 2014

Pichaz kutoka kwenye uzinduzi wa video mpya ya Kala Jeremiah ‘Usikate Tamaa’ ziko hapa


chin


.
.
Ni usiku wa kuamkia Nov 24 ambapo mashabiki wa bongofleva kutoka maeneo mbali mbali walijitokeza kwenye uzinduzi wa video mpya ya single ‘Usikate Tamaa’ ya msanii Kala Jeremiah katika ukumbi wa Maisha Club Dar es Salaam.
Katika uzinduzi huo uliopewa jina la ‘Usikate Tamaa’ Kala Jeremiah alipewa kampani ya nguvu kutoka kwa Mo Music, Neylee,Ben Pol, Nuru Well na Stamina.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_0299
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza

No comments:

Post a Comment