Hiki ndicho alichojibu alikiba baada ya tuhuma za kutomtumia R.Kelly kujiongeza kimuziki
Mwana DSM hitmaker Ally Kiba kama unakumbuka
alishiriki kwenye project ya ONE 8, ambayo baadhi ya wasanii wakubwa wa afrika
waliteuliwa na kwenda nchini marekani, wakakaa studio moja na R. kelly, ambaye
aliwaandikia ngoma "hands across the world" na waka record kuanzia audio mpaka video.
Ndani
ya ngoma hiyo kuna sauti za 2face, Ali Kiba, Amani, Navio, JK, Movaizhaleine, Fally ipupa
project ambayo ilisimamiwa na Rock Star 4000, na Sony Music.
sasa
zengwe limeibuka hivi karibuni watu wakidai eti, Ally Kiba hakuitumia
nafasi hiyo kama fursa ya kuukuza muziki wake duniani
nimetumia
vizuri sana, ku ku unajua, unapokuwa, mfano wake ni kama, unapokuwa
umenanii, sio kwmba eti eeh mmmmmh unakuwa eti umefeli katika hilo
swala. ukweli ni kwamba kipindi kile watu hawakuwa sana active kwenye
social network na vitu vingine, wamebadilika bada ya miaka miwili
iliyopita kwahiyo hiyo chance ingetokea sasa hivi nadhani kila kitu
kingekuwa ni kitu kingine.
Na
vilevile chance gani kama ipi unahisi sijaitumia? ok nakuuliza swali
moja nanai kati ya sisi amefanya collaboration na R. Kelly tumeimba nae,
hakuna! so yeah, kulikuwa na mikataba na vitu vingi na kila mtu ana
ratiba zake., wakati utakapofika tutufanya kwasababu tayari tumeshafanya
kazi na kila kitu kipo kwahiyo ni process tu inaytakiwa ifatwe kumaliza
hilo swala........
No comments:
Post a Comment