Thursday, November 6, 2014

Trailer: Movie mpya ya Bongo "One Month Date" kutoka mwanzoni mwa mwezi ujao

Movie ya kibongo iliyotayarishwa na Paull Mashauri "One Month Date" inatarajiwa kuachiwa December 5
Paul mashauri ameangalia vipaji vya wasanii wengine ambao hawajawahi kuonekana katika movie tulizozizoea, na ndani yake amecheza mwanadada mjasiriamali anaekuja kwa kasi katika utengenezaji na uuzaji wa Ice Cream "Nelwa's Gelato", Mercy Kitomari. Angalia trailer hiyo hapa chini.

No comments:

Post a Comment