Saturday, November 29, 2014

BAADA YA OPREH KUOMBA MSAMAHA KWA TUKIO LA KUBAGULIWA, HAYA NDIYO MANENO ALIYOSEMA


Oprah Winfrey hatimaye ameamua kuomba msamaha kutokana na issue ya yeye kubaguliwa huko Switzerland kuchukua nafasi kubwa kwenye media na kuzua mijadala mbalimbali.

Oprah amesema kua, Tukio hili la huko Switzerland ni tukio tu ambalo limetokea huko Switzerland, na anaomba msamaha kwa kuwa kwa sababu yake limekua na kuwa issue kubwa.








.
Mwanamama huyu ameongeza kuwa hakutaja jina la Duka ambalo ndani yake alikumbana na kisanga hiki na kosa kidogo tu lilikuwa ni yeye kutaja Switzerland na kuwapatia mapaparazzi lead ya kulichimba tukio hili na kulifanya ni kitu kikubwa.

Hata hivyo kwa upande mwingine Oprah amesema kuwa, Hakuna haja ya Switzerland wala wahusika kutoka Duka ambalo alikutana na tukio hili kumuomba msamaha na yeye alifanya hivyo makusudi kuonyesha hali inavyokuwa wakati unapofika mahali ambapo watu hawakutegemea kama utakuwa na uwezo wa kupafika.



Oprah alikataliwa kutazama pochi yenye thamani ya dola 38,000, sawa na shilingi 61,503,000 za BURUNDI

No comments:

Post a Comment