Wednesday, November 12, 2014

Salama Jabir ku-host kipindi cha "Tujuane" akiwa na mtangazaji wa kenya "Malonzi


Mtangazaji wa kipindi cha Mkasi , Salama Jabri soon ataanza kuonekana ndani ya kipindi cha televisheni cha Kenya kinachotarajiwa kuanza kuonekana East Africa "Tujuane" akiwa na mtangazaji mwenzake Malonzi 
Kipindi hicho kinachohusu mahusiano hasa kwa wale wanaotafuta mahusiano, kitakuwa kinaruka kupitia Dstv, Maisha Magic channel 161

No comments:

Post a Comment