Baada ya meneja wake kukamatwa jana jioni na wacheza shoo wake kukamatwa leo Asubuhi. Hatimaye Diamond ajisalimisha kituo cha police (oyster bay)
Baada ya msanii huyo kujisalimisha , Alihojiwa kwa masaa kadhaa kisha akaachiwa kwa dhamana baada ya kukabithi sare ya JWTZ kituoni Hapo

No comments:
Post a Comment