Monday, November 17, 2014

Brand New: Akadumba - Nay wa Mitego

Ney wa Mitego ameachia wimbo wake mpya unaoitwa "Akadumba" ulifanywa na producer Ttouch ambao
anaamini kuwa na ladha ya kinyumbani na kusema wasanii wa Tanzania wanatakiwa kufanya kama 
alivyofanya kwenye wimbo huu ili kupata mziki wetu ambao utakuwa na vionjo vyetu na kuchezeka ka ule
 wa wale unaochezwa kila siku wakari tuna vyetu



 "utaickia kwa Mara ya kwa kwny radio yako kaa karibu na radio yako,,,, uckie kile nimefanya zic tym... Ni
new sound yenye Radha yakinyumbani ambayo nadhani wasanii wa tz 2natakiwa kufanya ivi 2pate mziki 
we2 ambao utakua na vionjo vye2 na unachezeka km ule wa wale 2naucheza kila cku km (mateka) wakati 
2navye2... #AKADUMBA ndo jina la wimbo...#freeNationPrdctn..!

No comments:

Post a Comment