Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria
wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa Rais
Bw. Morris Mbena baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
akitokea
Marekani kwenye
matibabu leo Novemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya
wafanyakazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuwasili akitokea Marekani
kwenye matibabu leo
Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono
wafanyakazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuwasili akitokea Marekani
kwenye matibabu leo Novemba
29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa
Majeshi Jenerali davis Mwamunyange baada ya kuwasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Jeshi
la Polisi IGP Ernest Mangu baada ya kuwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamishna Jenerali
wa Magereza John Minja baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu
wa Idara ya Usalama Bw. Rashid Othman baada ya kuwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikumbatiana kwa furaha na
Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru
Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa

Mama Maria Nyerere akiongea na Mama Salma Kikwete katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar
es salaam baada ya Rais Kikwete kuwasili akitokea Marekani kwenye
matibabu leo
Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea
na Mama Maria Nyerere aliyefika kuwapokea katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29,
2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na waandishi wa habari
na viongozi mbalimbali waliokuja kumlaki baada ya kuwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo
Novemba 29, 2014

Dua
ilisomwa na viongozi mbalimbali wa dini baada ya
Rais Jakaya Mrisho Kikwete kumaliza kuongea na wanahabari mara
tu alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye
matibabu leo Novemba 29, 2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia
wafanyakazi wa ikulu waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili ikulu
akitokea nchini Marekani kwenye matibabu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia kwa furaha
wafanyakazi wa ikulu waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili ikulu
akitokea nchini Marekani kwenye matibabu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mashada ya
maua kutoka kwa wafanyakazi wa Ikulu waliojitokeza kumpokea mara
baada ya kuwasili Ikulu akitokea nchini Marekani kwenye matibabu.
Kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue aliyeongoza mapokezi
hayo ya Ikulu
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kadi ya pole toka kwa mjukuu wake Aziza
Ridhiwani Kikwete mara baada ya kuwasili
Ikulu
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha na mwanaye Khalfani baada