Zitto KABWE.. Ufisadi Mv Dar es Salaam.. Mizani Kibaha kufungwa? Zisikie zote hapa #PB Clouds FM
Jumatatu
ya March 16, Magazeti ya leo tayari yapo mtaani, POWERBREAKFAST ya
CLOUDS FM imefanya uchambuzi wa story kubwa zote zilizopo kwenye
Magazeti, ulipitwa na hiyo? Unaweza kusikiliza hapa.
Habari kubwa kutoka kwenye Magazeti ya leo ni Askofu Kardinali Pengo kuzungumzia tamko la Maaskofu kuhusu Kura ya Maoni Katiba iliyopendekezwa, Mbunge Zitto Kabwe kutangaza
rasmi kutokuwania Ubunge uchaguzi ujao, TANROADS kufunga mizani ya
Kibaha, maadhimisho ya wiki ya maji kuaanza leo huku kukiwa na uhaba
mkubwa wa maji nchini.
Stori nyingine ni ishu ya TEMESA kusema
hakukuwa na ufisadi wowote katika ununuzi wa kivuko cha MV DAR, mapya
yaibuka kwenye mchakato wa ununuzi wa mabehewa TRL na mtandao wa
majangili nchini wabainika Tz.
No comments:
Post a Comment