Wednesday, March 4, 2015

Forbes wamtangaza Michael Jordan kuwa kati ya bilionea wapya 290

Jarida la Forbes, limetoa orodha ya mabilionea wapya 290 na kwa mara ya kwanza ndani yake akiwemo mcheza kikapu long time kitambo, Michael Jordan.
kwa sasa Jordan ni tajiri alieshika nafasi ya 513 katika matajiri Marekani kwa kuwa na mkwanja net wenye thamani ya dola bilioni 1.0.
Jordan anamiliki Charlotte Hornets, ambayo imeongeza thiamin cutoff doll million 410 maw jana mpaka kufikia doll 725 maw huu baada ya kuuzwa Los Angeles Clippers kwa dola bilioni 2 kwa Steve Ballmer.

Jordan's stake in the team is worth $500 million, kea mujibu wa Forbes.

No comments:

Post a Comment